Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kilifi wataka tofauti zilizoko zizimwe haraka

  • | Citizen TV
    352 views
    Duration: 1:30
    Baadhi ya viongozi wa Chama cha ODM Malindi Kaunti ya Kilifi wamewataka viongozi wa Chama hicho kukoma kutofuatiana hadharani wakisema kuwa ni aibu na hatimaye wataathiri shughuli nzima za Chama hicho.