Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kisiasa eneo la Pwani waendelea kumpigia debe rais William Ruto

  • | Citizen TV
    438 views
    Duration: 1:47
    Viongozi wa kisiasa eneo la Pwani waendelea kumpigia debe rais William Ruto wakisifia miradi ya maendeleo ambayo amefanya eneo hilo.Wakiongozwa na waziri wa madini Ali Hassan Joho, viongozi hao wasema hawatakubali siasa za upinzani kurejesha nyuma maendeleo Pwani. Aidha wapongeza juhudi za rais Ruto za kutatua suala la uskwota. Wawarai wakazi kujiandikisha kwa wingi kuwa wapiga kura ili kushiriki uchaguzi mkuu ujao.