22 Apr 2026 1:23 pm | Citizen TV 185 views Duration: 1:29 Viongozi wa kisiasa nchini wametakiwa kujitokeza na kuhakikisha kina mama wanapata fursa sawa katika jamii ili kuimarisha usawa na maendeleo ya taifa.