17 Aug 2026 10:09 am | Citizen TV 175 views Duration: 1:58 Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Nyamira wameomba asasi za usalama kukaza kamba zaidi, dhidi ya visa vya utovu wa usalama vinavyoonekana kuongezeka katika kaunti hiyo.