14 May 2026 1:23 pm | Citizen TV 1,400 views Duration: 1:59 Viongozi hao akiwemo seneta wa kitui Enock Wambua, aongea kwenye mazishi ya kijana mwenye umri wa miaka 14 kutoka Kathungu ambaye alivamiwa na kuuwawa na wafugaji wa ngamia.