- 1,490 viewsDuration: 1:13Viongozi kutoka kaunti ya Kitui ambao wanamuuga mkono rais William Ruto wanaendelea kumpigia debe apate uungwaji mkono wa muhula wa pili kwenye uchaguzi mkuu ujao.Wakiongozwa na mbunge wa Kitui South Rachel Kaki, viongozi hao wamesifia miradi iliyoanzishwa na Rais Ruto na wanawataka raia wampe muhula wa pili ili ikamilishwe. Viongozi hao walikuwa kwenye kampeini Kitui South.