Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Lamu waahidi kumuunga mkono Ruto kuelekea uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    976 views
    Duration: 2:33
    Viongozi wa Lamu wameahidi kumuunga mkono Rais William Ruto kuelekea uchaguzi wa 2027, wakitaja masuala ya usalama na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kama baadhi ya vigezo vya kumpigia debe.