30 Jul 2026 1:38 pm | Citizen TV 1,619 views Duration: 1:43 Baadhi ya viongozi wa magharibi mwa Kenya wamewataka wakazi kuunga mkono serikali ya rais William Ruto wakisema imeleta maendeleo makubwa tangu kuingia madarakani.