- 3,437 viewsDuration: 2:52Viongozi wa eneo la magharibi wanaounga mkono serikali wamepuuzilia mbali ziara ya siku tatu ya viongozi upinzani eneo hilo. Wakiongozwa na gavana wa Bungoma Ken Lusaka, wanasiasa hawa wameendelea kuwalaumu kwa kukosa ajenda haswa kwa eneo hilo. Viongozi wengine waliokuwa kaunti ya Kericho pia wameendelea kutetea rekodi ya maendeleo ya Rais William Ruto