- 501 viewsDuration: 1:50Baraza la makanisa la Nyandarua lawaonya viongozi wa kisiasa ambao wapiga kambi huko Ol-Kalou kuwafanyia kampeni wagombeaji wanaowapendelea kwa Uchaguzi mndogo ujao kuzingatia tahadhari na kuepuka kutoa kauli za uchochezi kwa wenyeji. Baraza hilo chini ya uongozi wa Askofu Mkuu Josam Kariuki lasema kuwa ni jambo la kusikitisha kwamba baadhi ya wanasiasa wanawachochea wenyenji wa eneo hilo kuzua rabsha.