15 Jun 2026 1:08 pm | Citizen TV 504 views Duration: 1:48 Viongozi wa makanisa mbalimbali katika Kaunti ya Kisii wameungana na wenzao kutoka maeneo mengine kukashifu wanasiasa wanaodaiwa kuwatumia wahuni kuvamia wanaokisiwa kupinga au kukinzana na mipango ya serikali.