Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa mlima kenya wanao unga mkono serikali ya Rais William Ruto waendelea kukashifu upinzani

  • | Citizen TV
    3,085 views
    Duration: 1:22
    Viongozi wa eneo la mlima kenya wanao unga mkono serikali ya Rais William Ruto wameendelea kuwakachifu wanasiasa wanaokosoa utendakazi wa serikali huku wakiwarai kukoma kuwapoteza wakenya.