Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM na Kenya Kwanza wamkashifu Uhuru Kenyatta

  • | Citizen TV
    5,871 views
    Duration: 2:54
    Viongozi wa ODM na Kenya Kwanza wameendelea kumkashifu Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, wakimtuhumu kujaribu kuhujumu serikali ya Rais William Ruto na kudai kuwa juhudi zake hazitafanikiwa. Wakizungumza katika hafla tofauti katika kaunti za Kisii, Vihiga na Rarieda, viongozi hao wamemtaka Kenyatta kuiheshimu serikali iliyoko mamlakani. Pia, wamewaonya viongozi wa upinzani kuwa matumaini yao ya kisiasa huenda yasitimie mwaka ujao.