Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM waahidi kumuunga mkono Ruto 2027

  • | Citizen TV
    3,241 views
    Duration: 3:31
    Viongozi wa ODM wameapa kuwa watampigia debe Rais William Ruto kupata muhula wa pili katika uchaguzi wa mwaka ujao. Wakizungumza katika mkutano uliofanyika kaunti ya Migori, viongozi hao walisema kuwa serikali imechangia maendeleo katika eneo hilo na kusisitiza kuwa hawatalegeza msimamo wao wa kumuunga mkono Rais. Wakati huo huo, katika kaunti za Kakamega na Busia, viongozi wa Kenya Kwanza walitumia fursa hiyo kuwarai wakazi wa eneo la Magharibi kujiandikisha kama wapiga kura ili kuongeza idadi ya kura katika uchaguzi wa mwaka ujao.