Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM waunga mkono ruwaza ya Ruto

  • | Citizen TV
    4,096 views
    Duration: 2:13
    Viongozi wa ODM nao wameunga mkono ruwaza ya Rais William Ruto, wakiitaja kama ramani muhimu itakayoleta mabadiliko nchini. Wakizungumza katika eneo la Kendu Bay, kaunti ya Homa Bay, wanasiasa wa ODM wakiongozwa na kinara wao Oburu Oginga wameishabikia ajenda hiyo huku wakiendelea kuukashifu upinzani kwa siasa zisizo na maono. Kama Francis Mtalaki anavyoarifu.