Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Pwani waahidi kumuunga mkono Ruto muhula wa pili

  • | Citizen TV
    945 views
    Duration: 1:30
    Viongozi wanaounga mkono serikali kutoka Pwani wameendelea kumpigia debe Rais William Ruto kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza katika eneo la Kaloleni, Kaunti ya Kilifi, wakati wa hafla ya kuunga mkono vikundi mbalimbali vya kina mama, wanasiasa hao wakiongozwa na Gavana wa Kilifi Gideon Mung'aro walitangaza kumuunga mkono Rais Ruto kwa awamu ya pili. Aidha, wameendelea kuwakemea viongozi wa upinzani kwa kile walichodai ni kueneza siasa za chuki.