31 Aug 2026 10:17 am | Citizen TV 2,533 views Duration: 2:31 Baadhi ya Viongozi kutoka pwani wameendelea kumsuta aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua dhidi ya madai ya wizi wa kura wakisema gachagua analenga kuwapotosha wakenya.