- 701 viewsDuration: 2:44Viongozi wa pwani wanaounga mkono serikali jumuishi wametangaza kuanzisha mazungumzo na Raisi William Ruto ifikapo December mwaka huu ya kutaka eneo la pwani kutengewa nafasi ya naibu wa Raisi iwapo eneo hilo litakua limeandikisha zaidi ya wapiga kura milioni 4.