4 Aug 2026 10:33 am | Citizen TV 633 views Duration: 2:56 Viongozi wa Pwani waungao mkono serikali pana waongeza kasi ya kampeni ya usajili wa wapiga kura katika eneo hilo, wakilenga kufikisha angalau kura milioni 4 kufikia mwezi Disemba mwaka huu. v