Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa serikali jumuishi wasifu dira ya maendeleo ya 2060

  • | Citizen TV
    1,210 views
    Duration: 1:43
    Viongozi wa serikali jumuishi wamesifia hotuba ya Rais iliyoashiria mpango wa maendeleo ya serikali utakaotekelezwa hadi mwaka wa 2060. Wakizungumza katika maeneo tofauti, viongozi hao wamesema kuwa ruwaza hiyo italiweka taifa katika ligi ya mataifa yaliyostawi zaidi duniani.