- 2,288 viewsDuration: 3:01Viongozi wanaounga mkono serikali wamekashifu vikali viongozi wa upinzani wakidai wanawachochea vijana kufanya maandamano ili kujinufaisha kisiasa. Viongozi hao wamesema kuwa sasa ni wakati wa kukumbatia maendeleo badala ya kupimana ubabe.