Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa serikali wasuta upinzani kwa kukosoa IEBC

  • | Citizen TV
    665 views
    Duration: 1:42
    Viongozi na wanasiasa wanaounga mkono serikali wamewasuta wenzao wa upinzani kwa kile wanachosema ni ukosoaji dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC. Wakiongozwa na Waziri wa Afya Aden Duale na mwenzake wa Kawi Opiyo Wandayi, viongozi hao wamewataka wapinzani kuheshimu IEBC na kuiacha ifanye kazi yake. Aidha, wameendelea kumpigia debe Rais William Ruto, wakisema ataendelea kuongoza kwa muhula mwingine. Viongozi hao wamezungumza katika hafla tofauti katika kaunti za Garissa, Nandi na Kakamega.