3 Aug 2026 1:42 pm | Citizen TV 290 views Duration: 1:28 Viongozi kaunti ya Taita Taveta sasa wanatoa wito kwa wabunge kufanyia marekebisho sheria ya wanyamapori ili waathiriwa wa nyoka waweze kulipwa fidia.