- 1,117 viewsDuration: 3:06Viongozi kutoka Kaunti ya Trans Nzoia waitaka tume ya NCIC kuwachukulia hatua kali wanasiasa wanaoeneza matamshi ya chuki. Pia waitaka IEBC kuwazuia viongozi wanaopatikana na hatia ya uchochezi kushiriki uchaguzi. Collins Shitiabayi na uketo wa taarifa hiyo.