Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa UDA wamkashifu kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua na upinzani

  • | Citizen TV
    3,225 views
    Duration: 1:59
    Viongozi waegemeao mrengo wa serikali ya Kenya Kwanza wakiongozwa na mbunge wa Kajiado magharibi George Sunkuyia na kiongozi wa vijana wa chama cha UDA, Kariuki Ngunjiri wakemea vikali siasa za mgawanyiko zinazoendeshwa na viongozi wa upinzani nchini wakiongozwa na aliyekuwa naibu wa Rais Rigathi Gachagua.