- 322 viewsDuration: 2:11Baadhi ya viongozi wa serikali na wanasiasa kutoka eneo la Ukambani wamewataka wakazi wa eneo hilo kumuunga mkono William Ruto katika azma yake ya kuwania muhula wa pili wa uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao walisema uungwaji mkono huo utasaidia kuendeleza miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika eneo hilo na nchini kwa ujumla.