Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani na wanaharakati wawasilisha notisi ya ukumbusho wa maandamano ya Juni 25

  • | Citizen TV
    13,872 views
    Duration: 2:40
    Baadhi ya viongozi wa upinzani, akiwemo kinara wa PLP Martha Karua na Gavana wa Siaya James Orengo, waongoza wanaharakati pamoja na waathiriwa wa maandamano ya Juni 25 kuwasilisha notisi ya kuadhimisha ukumbusho wa maandamano hayo katika ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi jijini Nairobi.