4 Jun 2026 1:22 pm | Citizen TV 2,455 views Duration: 2:11 Viongozi wa upinzani, akiwemo Fred Matiang'i na Peter Munya, wameendelea kuikosoa serikali kuhusu mpango wa kujenga kituo cha karantini ya Ebola katika kambi ya jeshi la anga eneo la Nanyuki, Kaunti ya Laikipia.