Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani wasema wataleta mabadiliko bora

  • | Citizen TV
    2,114 views
    Duration: 1:34
    Naibu kiongozi wa chama cha Jubilee, Fred Matiang’i, pamoja na kiongozi wa chama cha PNU, Peter Munya, wawahimiza wakazi wa Kaunti ya Isiolo kuunga mkono harakati za kuleta mabadiliko ya uongozi katika uchaguzi mkuu ujao uliopangwa kufanyika.