Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani waungana na jamaa za waathiriwa wa Juni 25

  • | Citizen TV
    10,143 views
    Duration: 3:51
    Viongozi wa upinzani walijitokeza kuungana na jamaa za waathiriwa kuadhimisha kumbukumbu ya vijana waliouawa katika maandamano ya Juni 25. Wakiongozwa na Kalonzo Musyoka, Martha Karua na David Maraga, viongozi hao wa kisiasa waliweka mashada ya maua nje ya majengo ya Bunge jijini Nairobi kuwakumbuka waliopoteza maisha. Kwa muda fulani, maafisa wa usalama walijaribu kuwatawanya viongozi hao pamoja na jamaa za waathiriwa kabla shughuli hiyo kuendelea.