Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Waluhya wamtangaza Edwin Sifuna mgombea urais 2027

  • | Citizen TV
    14,999 views
    Duration: 2:08
    Viongozi wa jamii ya Waluhya wanaounga mkono vuguvugu la Linda Mwananchi wamemtangaza Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa mgombea wao wa urais mwaka 2027. Uamuzi huo ukifikiwa baada ya kikao kilichoongozwa na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya mjini Kitale.