Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Wamaasai kuandaa kikao Samburu kudai fidia kwa wafugaji

  • | Citizen TV
    1,044 views
    Duration: 1:34
    Viongozi wa jamii ya Wamaasai kutoka kaunti za Kajiado, Narok na Samburu wanatarajiwa kuandaa kikao Jumamosi hii katika Kaunti ya Samburu, kuendelea kuishinikiza serikali kuwafidia wafugaji waliopoteza mifugo wa waliouawa kwa kupigwa risasi huko Samburu Mashariki.