Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa wanafunzi wataka wachochezi wakamatwe Turkana-Pokot

  • | Citizen TV
    372 views
    Duration: 1:20
    Viongozi wa wanafunzi wamewataka wachochezi kukamatwa ili kulinda amani katika eneo la mpakani la Turkana-Pokot. Wanafunzi wa vyuo wamefanya mkutano wa amani mjini Lodwar