3 Aug 2026 1:20 pm | Citizen TV 2,120 views Duration: 2:04 Viongozi wa Chama cha Wiper ni wa hivi punde kuwasili kaunti ya Kilifi katika juhudi za kumshawishi aliyekuwa mbunge wa Malindi Aisha Jumwa kuungana nao kwenye kampeini za uchaguzi mkuu ujao.