- 1,766 viewsDuration: 3:06Huenda baadhi ya viongozi wanaochunguzwa kwa sasa kuhusiana na tuhuma za uchochezi wakazuiwa kugombea nyadhifa za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Haya yamebainishwa kwenye uzinduzi wa kamati ya pamoja ya taasisi mbalimbali za serikali iliyopewa jukumu la kuwakabili wanaoendeleza matamshi ya chuki na uchochezi. Willy Lusige anaarifu.