6 Jul 2026 10:08 am | Citizen TV 326 views Duration: 1:45 Viongozi mbalimbali wameendelea kuikosoa serikali kwa kile wanachodai ni juhudi za kugandamiza uhuru wa vyombo vya habari, wakisema hali hiyo haifai kupewa nafasi katika taifa la kidemokrasia.