- 2,640 viewsDuration: 2:01Mtafaruku katika biashara ya saruji barani Afrika uliibuliwa wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha lamu , huku viongozi wakimlaumu mwekezaji wa kifarasa Joseph-Auguste Lafarge. Rais wa zamani wa Nigerian Olusegon Obasanjo amesema kuwa uwekezaji wa kampuni ya Lafarge barani afrika haukufanywa kwa nia njema, huku rais William Ruto akishabikia kutwaliwa kwa sekta ya saruji na wamiliki kutoka kenya na afrika mashariki.