16 Jun 2026 1:23 pm | Citizen TV 621 views Duration: 1:34 Baadhi ya viongozi wanawake nchini wamejitokeza na kumtetea rais William Ruto wakisema anaendelea kufanya miradi ya maendeleo kote nchini hasa ujenzi wa barabara na nyumba za bei nafuu.