Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wanawake wataka hatua zaidi kukabiliana na ukatili wa kijinsia

  • | Citizen TV
    144 views
    Duration: 3:17
    Viongozi wanawake nchini wanatoa wito wa hatua zaidi kuchukuliwa ili kukabiliana na ukatili wa kijinsia, wakihimiza uwezeshaji wa wanawake. wakizungumza hapa jijini nairobi, Wanasema mabadiliko ya kweli yanahitaji ushirikiano wa serikali, familia na jamii nzima .