- 558 viewsDuration: 2:32Viongozi mbalimbali wanashinikiza amani katika eneo bunge la Ol Kalou kufuatia machafuko yaliyoshuhudiwa katika eneo hilo na gari la chama cha DCP kuvamiwa na wahuni. Wakizungumza katika ibada ya Jumapili eneo hilo, viongozi wa vyama mbalimbali walifanya kampeni za lala salama huku IEBC ikikamilisha mafunzo kwa maafisa watakaosimamia uchaguzi huo. Emmanuel Too na mengi zaidi.