Skip to main content
Skip to main content

Viongozi watofautiana kuhusu maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25

  • | Citizen TV
    5,590 views
    Duration: 2:57
    Viongozi wa kisiasa wameendelea kutoa kauli kinzani kuhusu maandamano yaliyopangwa kufanyika kesho kwa ajili ya kuwakumbuka waathiriwa wa maandamano ya Juni 25 mwaka 2024. Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka anadai kuwa serikali imepanga kutumia wahuni kusambaratisha maandamano hayo na kusababisha uharibifu wa mali. Haya yanajiri huku viongozi wa ODM wakisisitiza kuwa wafuasi wao hawatajitokeza kushiriki maandamano ya kesho.