Skip to main content
Skip to main content

Visa vya Migogoro ya binadamu na wanyamapori yapungua ukanda wa Kusini

  • | Citizen TV
    151 views
    Duration: 1:44
    Visa vya migogoro baina ya wananchi na wanyamapori vimeripotiwa kupungua kwa kiasi kikubwa katika eneo la ukanda wa kusini. Eneo hili linajumuisha Hifadhi ya Kitaifa ya Nairobi hadi Hifadhi ya Amboseli, kaunti ya Kajiado.