Skip to main content
Skip to main content

Visa vya ubakaji kwa watoto na uraibu wa pombe vyaripotiwa kuongezeka katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    119 views
    Duration: 1:53
    Hali ya wasiwasi yazidi kuzonga maeneo bunge kadhaa kaunti ya Kisii kufuatia ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia, visa vya ubakaji kwa watoto na uraibu wa pombe na dawa za kulevya hususan eneo bunge la Bonchari.