Skip to main content
Skip to main content

Visa vya ukandamizaji wa wanahabari na polisi 2025

  • | Citizen TV
    1,016 views
    Duration: 6:46
    Mwaka wa 2025 ulishuhidia visa vya maafisa wa polisi wakuwanyanyasa na kuwadhulumu wanahabari wakiwa kwenye shughuli zao za kikazi. Mojawapo wa dhulma za kukumbukwa ni wakati wa maandalizi ya maigizo ya tamthilia tata ya echoes of war iliyokuwa imeandaliwa na wanafunzi wa shule ya upili ya wasichana ya Butere kwa madhumini ya mashindano ya kitaifa ya maigizo na filamu yaliyokuwa yakifanyika jijini nakuru.