Skip to main content
Skip to main content

Visa vya watoto kudhulumiwa vyakithiri kaunti ya Nyeri

  • | Citizen TV
    184 views
    Duration: 1:18
    Mivutano ya Mashamba, ulipishaji visasi na Kupotoka kwa maadili, ni kati ya sababu kuu zinazochangia ongezeko la dhuluma kwa Watoto katika kaunti ya Nyeri. Haya ni kwa mujibu wa kundi la kutetea haki za Watoto katika kaunti hio linalojitambua kama Gender Champions na linaloongoza kongamano la kubuni mbinu za kulikabili janga hilo.