- 5,739 viewsDuration: 2:47Watu watano, akiwemo mwanahabari na wanaharakati, walijeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana waliojivalia marungu katika majengo ya Bunge la Kaunti ya Mombasa. Vurugu hiyo ilishuhudiwa dakika chache baada ya walinzi wa Bunge la Kaunti kukabiliana na wanaharakati waliokuwa wamewasilisha hoja ya kushinikiza Mswada wa Vijana kutekelezwa.