- 6,282 viewsDuration: 2:50Imekuwa siku ya Ghasia, Vurugu na hata Kufukuzwa kwa baadhi ya wanasiasa katika kampeni zilzoandaliwa maeneo tofauti nchini. Msafara wa Kinara wa DCP Rigathi gachagua ukilengwa na wahalifu katika eneo la Soko Mjinga Kaunti ya Nakuru. Vioo vya magari hayo vikivunjwa kwa mawe na watu kujeruhiwa. Naye Naibu Kinara wa chama cha Jubilee Fred Matiangi alifukuzwa huko Bomet. Matukio haya yanajiri huku Waziri wa Usalama akisistiza Serikali iko Imara kudumisha Amani Kote nchini katika Mikutano ya Kisiasa