Skip to main content
Skip to main content

Vyuo vya kibinafsi vataka usawa katika ufadhili wa masomo

  • | Citizen TV
    261 views
    Duration: 1:10
    Vyuo anwai na vya kiufundi hapa nchini vinataka kuwe na usawa katika kutolewa kwa ufadhili wa masomo katika taasisi za mafunzo za umma na za kibinbfasi ili wanafunzi katika taasisi hizo wasibaguliwe wakati wa kupokea mafunzo. Mwenyekiti wa shirikisho la taasisi za kiufundi za kibinfasi amesema serikali ni sharti ishirikishe wanafunzi wote katika mipango ya ufadhili ili walioko katika vyuo vya kibinafsi pia wafaidi masomo. Taaisisi hizo zimekuwa muhimu katika kutoa mafunzo kwa wanafunzi ambao hawakuweza kuingia katika vyuo vikuu lakini ni kiungo muhimu katika ubunifu wa taifa hili.