- 2,465 viewsDuration: 6:43Waandamanaji 355 wakamatwa kwenye maandamano ya amani yaliyofanywa kuadhimisha kumbukumbu ya juni 25 kuwakumbuka vijana waliouawa miaka miwili iliyopita. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen akisema serikali yaridhishwa na namna maandamano ya leo yalivyoendeshwa. Hata hivyo, mvutano kati ya maafisa wa usalama na waandamanaji ulishuhudiwa katikati ya jiji la Nairobi.