- 1,467 viewsDuration: 3:17Washukiwa 61 wakiwemo watoto watano waliokamatwa kufuatia maandamano ya kupinga bei ya mafuta Nairobi, machakos na Karatina wamefikishwa mahakamani hii leo. Jumla ya washukiwa 16 waliachiliwa kwa dhamana Nairobi na karatina huku washukiwa waliokamatwa machakos wakisalia seli kwa siku tatu Zaidi.